APP
آخر تحديث 9/12/2018 11:50
الأحد, 28 أبريل 2024
شوال 19, 1445
عدد الكتب 10395

UJUMBE WA UISLAMU KWA ULIMWENGU MZIMA

UJUMBE WA UISLAMU KWA ULIMWENGU MZIMA
  • الناشر: islamhouse.com
  • سنة النشر: 2012
  • عدد صفحات الكتاب: 196
  • عدد زيارات الكتاب: 4732
  • عدد تحميل الكتاب: 2467
  • عدد القراءة: 1293

UJUMBE WA UISLAMU KWA ULIMWENGU MZIMA

Shukurani zote zinamsitahiki Mwenyezi Mungu,na rehma na amani zimuendee Mtume wetu Muhammad,na ahli zake na maswahaba zake wote.
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: “Sema; Enyi watu mlio pewa kitabu (cha Mwenyezi Mungu.Mayahudi na Manaswara)! njooni katika neno lililo sawa baina yetu na baina yenu; ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu,wala tusimshirikishe (Mwenyezi Mungu)na chochote,wala baadhi yetu tusiwafanye wengine kuwa waungu badala ya Mwenyezi Mungu (au pamoja na Mwenyezi Mungu).wakikengeuka ,semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni waislamu,(tumenyenyekea amri za Mwenyezi Mungu”

Source: islamhouse.com

: